hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Ajira ni tatizo sugu duniani kote hasa Kwa vijana walio wengi.ila tunaweza kujitafuta wenyewe kama taifa Kwa miaka mitano mpka kumi kujikwamua na janga la ukosefu wa ajira Kwa vijana waliopo mavyuoni na mitaani.
Tuboreshe mambo muhimu yenye kubeba ajira nyingi Kwa miaka mingi huko mbele.
1.kilimo:tutoe mafunzo Kwa vijana waliopo maeneo yote Tanzania hasa kilimo biashara kilimo Cha muda mfupi mfupi vyenye kukupatia kipato ndani ya muda mfupi hivi viendeshwe semina zake kila mikoa ili vijana wengi wapate ujuzi na maarifa ya kilimo hiki hasa kwenye eneo la mazao ya bustani.
2.uvuvi :zitolewe semina kila mkoa semina za uvuvi Bora wenye tija ili vijana waweze kujikita humo na kujikwamua na janga la ajira.
3.ufugaji:hapa zitolewe semina za mara Kwa mara za ufugaji wa muda mfupi Kwa mifugo ya aina ya chotara ili vijana wengi waweze kushiriki maswala ya ufugaji hata mijini ili kujipatia vipato.ni vizuri kujikita katika ufugaji wowote ule uwe kuku au ng'ombe Kwa wenye uwezo ila uwe n ufugaji wa vitu chotara ambavyo vitatoa matokeo haraka Kwa mfugaji na kumpatia fedha za kuweza kujikimu.
Michezo yote halali ya michezo ipewe kipaombele kila mkoa:hapa tutawapatia vijana wengi ajira Kwa sababu kila timu ya eneo husika itahusika na vijana wa eneo husika au eneo la jirani na mkoa husika tutakuwa timeokoa vijana kupata ajira Kwa wingi.
5teknolojia:hpa tukitoa kipaombele Kwa kuweka mbele teknolojia vijana wengi wenye utaalam watafumbuu vitu na kujiajiri pale kwenye kuonekana duniani na ndani ya taifa tuwape uhuru vijana hapa ajira ziko nyingi Kwa wavumbuzi wetu wenye talanta za kuzaliwa na hawapewi vipaombele pamoja na walio wasomi pia.
6:viwanda vidogo vingi mikoani: tukiifungua viwanda vingi mikoani ajira zitamiminikia huko hakuna kijana atakuja dar kuhangaikia ajira mana viwanda anakotoka vipo pia ataajiriwa huko huko na kupunguza wimbi la ajira Kwa nchi na mkoa wa dar kujaza vijana wengi.
Hizo ni njia za jumla na kubwa za kuboresha tz ya kesho ili kupunguza wimbi la ukosefu wa ajira Kwa wasomi na wasio wasomi vijijini naa mijini Kwa miaka 5 mpka kumi ijayo.
Nn kifanyike :wajibu wa serikali ishirikiane na wadau mbalimbali wa sekta binafsi kuona namna nzuri ya kujiboresha wao Kam serikali na sekta binafsi ili kuongeza WiGo wa ajira Kwa taifa hili Kwa miaka mi5 mpka 20 ijayo.
Inawezekana haya kama mia itakuwa kubwa Kwa wahusika wakuu na vitendo vikichukua nafasi kuliko maneno mengi.

Upvote
3