Tufanye haya mashabiki na wapenzi wa timu ya Yanga

Ndavyuse

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
14
Reaction score
26
Wapenzi na Mashabiki wa Team ya Yanga, ni kweli ya kuwa, tunapitia Wakati Mgumu na kwa kiasi Fulani, kimataifa angalau tumenza na Matokeo ya kutia Moyo,sio ya kuridhisha.

Ili tutembee kifua mbele kwenye Mzunguko wa Pili Kimataifa kwa hizo mechi tatu zilizobakia tunatakiwa tumshauri Kocha wetu ni Kikosi gani kinatakiwa kianze na afanye sub zipi.

Kwa hali tuliyofikia ili tusipoteze Fedha kutokana na kutoingia Robo Fainali au Nusu Fainali maana CAF huwa wanatoa Mzigo wa Maana Team Zikifikia Hatua hii.

Pili na Mauzo ya Jezi maana Team huwa zinatoa mzigo mpya wa Jezi za Fainali au Nusu Fainali mbali ya Kupata Wadhamini kibao wanaotaka Bidhaa zao ziuzike au zipate soko kimataifa

Napendekeza kOCHA na BENCHI Lake la Ufundi kwa Muda HUU akubali kupangiwa kikosi sio kupanga tu kwa kuangalia juhudi za Wachezaji Mazoezini lakini hawana Tija kwenye Mechi za Ushindani

Kikosi cha Kwanza Kianze na Wafuatao

1. Diara kam Mgonjwa mbadala Khomein
2. Yao
3. Boka
4. Job
5. Baka
6. Aucho
7. Maxi
8. Abubakari Salum
9. Mzize
10. Pacome
11. Chama

Sub
1. Mzize aingie Dube
2. Chama aingie Aziz Ki
3. Abubakari Salum aingie Mudathiri

Viongozi Wa Yanga msikubali matokeo mabaya ya kumuacha Kocha apange pekeyake tutamfukuza ili jina la Yanga litachafuka
KARIBUNI WANA YANGA KWA MAONI YA KIKOSI BORA ZAIDI
CC:ALLY KAMWE
CC:ENGINEER HERSI
CC:MASHABIKI NA WAKEREKETWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…