Tufanye jaribio, tuwape bodaboda utawala wa mji/wilaya moja tu

Tufanye jaribio, tuwape bodaboda utawala wa mji/wilaya moja tu

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Kila siku ooooh!

Bodaboda ni hatari, sijui bajaji usalama barabara imefanyeje.

Swali ni je, tukiweka wilaya moja ikawa na bajaji na bodaboda tu na baiskeli. Wao ndio wanadeal na traffic. Wao ndio wanadeal na usafirishaji kila kitu. Afu tuone je?

Umahiri na ufanisi wa usafirishaji kwenye hiyo wilaya/mji upoje?
Usalama upoje?
Uchafuzi wa mazingira?
Kiuchumi, matumizi ya mafuta?
Kipi wamefeli?
 
Kwa hapa kwetu hapo kati sio hizo emergency vehicles. Ni bodaboda 😳😆
Screenshot_20240115-175430_Gallery.jpg


Hata hivyo boda ni emergency anyways
 
Back
Top Bottom