Tufanye nini ili kuondokana na utegemezi wa wahisani?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa serikali ina hali mbaya na imeshindwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kuwa asilimia kubwa ya mipango ya serikali hutegemea wahisani ambao wamegoma kutoa hela.

Hivi ni kweli tumeshindwa kuendesha mambo yetu bila utegemezi wa wahisani au ni hulka ya kujiendekeza na kuona mambo hayaendi bila wao.

Sijaona great thinker yoyote humu jamvini anayeadvocate mambo ya kujitegemea kwa asilimia mia moja na kuachana na dhana hii dhalimu ya kutegemea wahisani.
Sijaona chama chochote cha siasa chenye sera ya kutuweka huru dhidi ya uhisani.ni aibu na upuuzi.

Tuanze kujadili sasa!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Wahega wamesema cha mtu mavi na sisi tumesha dekezwa toka uhuru hadi leo ndio tunaamka na laiti tusingekuwa na rasimali sijui tungemlaumu nani lakini tuna mali ked ked yaani toka uhuru hadi leo hatuna hata kiwanda cha shindano ya mkona lakini kwa malongolongo domo ndio maendeleo yetu na kila kukicha kazi yetu kufanya chaguzi tu na hii ndio mtaji na maendelio yetu na mafisa na kujiona tunaweza kumbe ni kama mazuzu ya kina futuhi na mpaka mwisho wa dunia tutakuwa omba omba kwa wazungu na kwa waarabu na kwa wahindi na ukweli unauma
 
Ni kwa kuamini kama sisi wenyewe Watanzania tunaweza
 
Bila kuiondoa CCM madarakani hili haliwezekani. Tutaendelea kuwapigia wahisani magoti vizazi na vizazi.
ni chama kipi chenye sera ya kujitegemea?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa serikali ina hali mbaya na imeshindwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kuwa asilimia kubwa ya mipango ya serikali hutegemea wahisani ambao wamegoma kutoa hela.

Hivi ni kweli tumeshindwa kuendesha mambo yetu bila utegemezi wa wahisani au ni hulka ya kujiendekeza na kuona mambo hayaendi bila wao.

Sijaona great thinker yoyote humu jamvini anayeadvocate mambo ya kujitegemea kwa asilimia mia moja na kuachana na dhana hii dhalimu ya kutegemea wahisani.
Sijaona chama chochote cha siasa chenye sera ya kutuweka huru dhidi ya uhisani.ni aibu na upuuzi.

Tuanze kujadili sasa!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Nashauri Vasco da Gama a.k.a FastJet aache kusafiri na kutembeza bakuli nje ya nchi.
 
uko tayari kulipia elimu,afya,kilimo na miundo mbinu?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Bora tujaribu kingine lakini kilichopo kimeshidwa pamoja na kupiga magoti lakini bado deni la taifa ni matrilioni ya fedha mpaka hata wajukuu zetu ambao hawajazaliwa tayari wanadaiwa...kwani chama hicho mpaka leo hukijui bado?
 
hili swali kwa kweli ni gumu sana tena ukizingatia yule mhisani unayemtegemea ana agenda yake ambayo iko inversly proportional to maslahi yako kwahiyo anauma alafu anapulizaxinfinity, na ndio maana wanasapoti viongozi uchwara wakijua wanaharibu mbaya. hii ramani imeshachorwa kilichobaki ni kutafuta nafasi yako ole wako ujaribu kubadili mchoro hapo utafanywa mfano kama steve biko au lumumba vile kwahiyo tembea kwa ncha babaake.
 
Magufuli ametuonesha njia
Magufuli ilikuwa bravado na makelele mengi tu, miaka take 5 tangu aingie uchumi wa Tz in real GDP umekuwa kwa kiwango kidogo zaidi kuliko zaidi kuliko awamu ya Mkapa na Kikwete, sasa utaajikomboa kwenye utegemezi bila kukuza uchumi wako kwa kasi?

Japo nilipenda Moto wake wa hapa kazi tu, alikuwa na mipango mibovu
 
njoo na figures and facts
 
Tunawezaje kusema tunajitegemea kama pato la taifa haliwezi kukidhi mahitaji yetu???

Deni la taifa limekuwa likiongezeka kila mwaka. Maana yake kumekuwa na ukopaji na kama ni hivo basi kilichokuwa tofauti ni tulikopa kwa fulani mwanzo na sasa tunakopa kwa mwingine!

Hili ndilo lililopelekea kuanza “vita vya kiuchumi” na dhihaka kwa “mabeberu”.

Pamoja na kutoweza kujitegemea, makusanyo ya ndani yaliongezeka mara dufu ikiwa ni pamoja na kudhibiti matumizi. Kwa mamabo haya nitamkumbuka JPM!!
 
Tulipe hii tozo ila Iende moja kwa moja kwenye huduma za jamii na sio posho
 
Tusonge mbele

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Back
Top Bottom