Tufanye nini ili kuondokana na utegemezi wa wahisani?

Tufanye nini ili kuondokana na utegemezi wa wahisani?

Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa serikali ina hali mbaya na imeshindwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kuwa asilimia kubwa ya mipango ya serikali hutegemea wahisani ambao wamegoma kutoa hela.

Hivi ni kweli tumeshindwa kuendesha mambo yetu bila utegemezi wa wahisani au ni hulka ya kujiendekeza na kuona mambo hayaendi bila wao.

Sijaona great thinker yoyote humu jamvini anayeadvocate mambo ya kujitegemea kwa asilimia mia moja na kuachana na dhana hii dhalimu ya kutegemea wahisani.
Sijaona chama chochote cha siasa chenye sera ya kutuweka huru dhidi ya uhisani.ni aibu na upuuzi.

Tuanze kujadili sasa!


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kuwa na bajeti iwe shirikishi, tuamue kama wananchi waamue pesa ifanye nini . Mfano kuongeza majimbo...
 
Back
Top Bottom