Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa serikali ina hali mbaya na imeshindwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kuwa asilimia kubwa ya mipango ya serikali hutegemea wahisani ambao wamegoma kutoa hela.
Hivi ni kweli tumeshindwa kuendesha mambo yetu bila utegemezi wa wahisani au ni hulka ya kujiendekeza na kuona mambo hayaendi bila wao.
Sijaona great thinker yoyote humu jamvini anayeadvocate mambo ya kujitegemea kwa asilimia mia moja na kuachana na dhana hii dhalimu ya kutegemea wahisani.
Sijaona chama chochote cha siasa chenye sera ya kutuweka huru dhidi ya uhisani.ni aibu na upuuzi.
Tuanze kujadili sasa!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
hakuna zaidi ya kuthubutu kujitegemea tu.

Magufuli ilikuwa bravado na makelele mengi tu, miaka take 5 tangu aingie uchumi wa Tz in real GDP umekuwa kwa kiwango kidogo zaidi kuliko zaidi kuliko awamu ya Mkapa na Kikwete, sasa utaajikomboa kwenye utegemezi bila kukuza uchumi wako kwa kasi?Magufuli ametuonesha njia
njoo na figures and factsMagufuli ilikuwa bravado na makelele mengi tu, miaka take 5 tangu aingie uchumi wa Tz in real GDP umekuwa kwa kiwango kidogo zaidi kuliko zaidi kuliko awamu ya Mkapa na Kikwete, sasa utaajikomboa kwenye utegemezi bila kukuza uchumi wako kwa kasi?
Japo nilipenda Moto wake wa hapa kazi tu, alikuwa na mipango mibovu