Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Mimi huwa nanunua mafuta ya kula ya alizeti mashineni kuepuka uchakachuaji, siku ya leo nimeambiwa lita 1 ya mafuta ni sh 7,000 sijui tunaelekea wapi na tufanye nini, wengi tunaokwepa colesterol kutoka kwenye mafuta ya Safi. Sasa tumepatikana safari hii.
Mwenye uwezo mdogo sana na wa chini sana ataweza kumudu kula chakula chenye mafuta?
Nashauri watakao weza na walio na mashamba au sehem za kulima walime Alizeti ili wapeleke tu mashineni kukamua, bila hivyo tuandae pesa nyingi sana kwa mwezi kwa ajili ya mafuta ya kula.