Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Hakuna cha kufanya zaidi ya kuimba mitano tenaMimi huwa nanunua mafuta ya kula ya alizeti mashineni kuepuka uchakachuaji, siku ya leo nimeambiwa lita 1 ya mafuta ni sh 7,000 sijui tunaelekea wapi na tufanye nini, wengi tunaokwepa colesterol kutoka kwenye mafuta ya Safi. Sasa tumepatikana safari hii.
Mwenye uwezo mdogo sana na wa chini sana ataweza kumudu kula chakula chenye mafuta?
Nashauri watakao weza na walio na mashamba au sehem za kulima walime Alizeti ili wapeleke tu mashineni kukamua, bila hivyo tuandae pesa nyingi sana kwa mwezi kwa ajili ya mafuta ya kula.
Kalime AlizetiMimi huwa nanunua mafuta ya kula ya alizeti mashineni kuepuka uchakachuaji, siku ya leo nimeambiwa lita 1 ya mafuta ni sh 7,000 sijui tunaelekea wapi na tufanye nini, wengi tunaokwepa colesterol kutoka kwenye mafuta ya Safi. Sasa tumepatikana safari hii.
Mwenye uwezo mdogo sana na wa chini sana ataweza kumudu kula chakula chenye mafuta?
Nashauri watakao weza na walio na mashamba au sehem za kulima walime Alizeti ili wapeleke tu mashineni kukamua, bila hivyo tuandae pesa nyingi sana kwa mwezi kwa ajili ya mafuta ya kula.
Mistari 2 ya mwisho umetumia lugha kali kidogo! Hata hivyo hizi shida wana ccm hazituhusu!Wengine kwetu ni fursa tena yaongezeke tu yafike 20,000 kwa lita.Mwaka huu mtapikia sperm zenu,hivyo mzitunze msizimwage ovyo ovyo
Fikiria kuacha kukarangiza, itapunguza bei.Mimi huwa nanunua mafuta ya kula ya alizeti mashineni kuepuka uchakachuaji, siku ya leo nimeambiwa lita 1 ya mafuta ni sh 7,000 sijui tunaelekea wapi na tufanye nini, wengi tunaokwepa colesterol kutoka kwenye mafuta ya Safi. Sasa tumepatikana safari hii.