Tufanye nini ili tuweze kuendelea na kutoka hapa tulipo?

Tufanye nini ili tuweze kuendelea na kutoka hapa tulipo?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Tufanye nini ili tuweze kuendelea na kutoka hapa tulipo?

Tufanye mjadala serious.
 
Unazungumzia kama taifa au cc km cc raia ktk harakati zetuu..

Ila km taifa Bado tunasafari ndefu sanaa..
 
1.Siasa ya uwajibikaji ;
2.Kipaumbele kila eneo la Tanzania;
3.Marekebisho ya mfumo wa elimu kuanzia ngazi ya chini ;
4.Huduma bora za kijamii;
5.Umoja na mshikamano ;
6.Kupunguza msururu wa kodi ili kuvutia wawekezaji ;
7.Uzalendo wa viongozi katika uwajibikaji.
 
Vizuri, mchango wako umegusa maeneo muhimu.
 
Back
Top Bottom