Vizuri, mchango wako umegusa maeneo muhimu.1.Siasa ya uwajibikaji ;
2.Kipaumbele kila eneo la Tanzania;
3.Marekebisho ya mfumo wa elimu kuanzia ngazi ya chini ;
4.Huduma bora za kijamii;
5.Umoja na mshikamano ;
6.Kupunguza msururu wa kodi ili kuvutia wawekezaji ;
7.Uzalendo wa viongozi katika uwajibikaji.