Kabinti ka ludilo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 409
- 468
- Thread starter
- #21
Huyu waziri ni genge la upande wa pili ambao hawakupendwa na mwenda zake . Sasa wale si wanarudishwa tuu... hata kama hukusoma IT unakuwa waziri wa Tehama.. hata kama Jangiri unapewa umakamu wa chama yan hivyo tuu kikubwa warudi woteeHuyo waziri alipaje hiyo nafasi kwanza maana samia kila siku anatuletea vilaz kutoak zanzibar ili kubalance sojui kitu gani