Kabinti ka ludilo JF-Expert Member Joined Sep 30, 2014 Posts 409 Reaction score 468 May 15, 2023 Thread starter #21 zithromax said: Huyo waziri alipaje hiyo nafasi kwanza maana samia kila siku anatuletea vilaz kutoak zanzibar ili kubalance sojui kitu gani Click to expand... Huyu waziri ni genge la upande wa pili ambao hawakupendwa na mwenda zake . Sasa wale si wanarudishwa tuu... hata kama hukusoma IT unakuwa waziri wa Tehama.. hata kama Jangiri unapewa umakamu wa chama yan hivyo tuu kikubwa warudi wotee
zithromax said: Huyo waziri alipaje hiyo nafasi kwanza maana samia kila siku anatuletea vilaz kutoak zanzibar ili kubalance sojui kitu gani Click to expand... Huyu waziri ni genge la upande wa pili ambao hawakupendwa na mwenda zake . Sasa wale si wanarudishwa tuu... hata kama hukusoma IT unakuwa waziri wa Tehama.. hata kama Jangiri unapewa umakamu wa chama yan hivyo tuu kikubwa warudi wotee
Kabinti ka ludilo JF-Expert Member Joined Sep 30, 2014 Posts 409 Reaction score 468 May 15, 2023 Thread starter #22 Marco Polo said: Huwa nachukia sana pale mtu anapotaka kutoa ujumbe muhimu alafu anasndika kwa uoga sasa unaogopa nini mkuu kwann usinyooshe maelezo ? Click to expand... Mtoto wangu bado mdogo sanaa
Marco Polo said: Huwa nachukia sana pale mtu anapotaka kutoa ujumbe muhimu alafu anasndika kwa uoga sasa unaogopa nini mkuu kwann usinyooshe maelezo ? Click to expand... Mtoto wangu bado mdogo sanaa
Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,348 Reaction score 5,841 May 15, 2023 #23 Kabinti ka ludilo said: Katiba mpya bila maadili ni kama kenya tuu Click to expand... Angalau tutaweza kuwawajibisha
Kabinti ka ludilo said: Katiba mpya bila maadili ni kama kenya tuu Click to expand... Angalau tutaweza kuwawajibisha
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 May 15, 2023 #24 Kabinti ka ludilo said: Mtoto wangu bado mdogo sanaa Click to expand... Bila shaka utakuwa mgeni jf
Kabinti ka ludilo JF-Expert Member Joined Sep 30, 2014 Posts 409 Reaction score 468 May 15, 2023 Thread starter #25 Marco Polo said: Bila shaka utakuwa mgeni jf Click to expand... Nilikuwa tuu chimbo mi wa kitambo