Tufanye nini Kufikia Level za Kupata Medali kama Yanga?

Huwa najiuliza sana sipati jibu. Hivi yanga wanapodai ana medali ina maana Simba 1993 hawakuvaa? Simba ni finalist 1993 na walivaa medali so issue ya medals sio kitu maana wote wamevaa. Issue hapa tutoke kwenye medals tuchukue kombe ila kuanzia mashabiki, viongozi kina Privaldinho wote wanashupaza shingo medali medali vitu vya ajabu kabisa
Hebu jumkisha toka 1993 mpaka Sasa ni muda gani afu mje na ile hoja yenu ya yanga ana miaka 25 hajacheza makundi ndio mtajua nyie ni wapuuzi.
 
Sasa kuchukua medali ni ishara kwamba umefika hatua nzuri kuliko kushangilia robo fainali kila kukicha...

Mimi.inaniuma kwa kweli kama mmeridhika na robo fainali mimi bado.

Naamini fainal success iwe kushiriki fainali. Hapo ndio unaweza kusema tumepambana.
Mbona nyie mmeridhika na medali
 
Aya mashindano hayana mambo yenu ya kipiuzi ya makosa ya kibinadamu.
Yaani kila mkicheza ligi lazima yatokee makosa ya kibinadamu, hamuwezi kupiga hatua kimataifa.
Tena inashangaza unaona goli limeingia refa anasema kona. Au ile Lomalisa anapiga krosi nje ya mstari goli linafungwa weka kati. Au ile ya Geita faulo katikati ya uwanja refa anasema penati! Hatuwezi kufika mbali.
 
Ni vyema kufikia hatua za mwisho kabisa za kila shindano.

Kuishia katikati na kujipiga nafsi konde kumekuwa ndio mtindo wetu wa Maisha. Mimi kama Shabiki wa Simba naumia mno kwakweli.

Ifike hatua ukweli usemwe.

Kwanini kila mara robo robo robo robo...Hii inakela kwa kweli. Roho inaniuma hadi nakosa kula. Nakosa hata usingizi muda huu..

Kwanini timu Yangu simba inaniumiza hivi?

Basi kama inashindikana kwenye mashindano haya makubwa basi tujaribu kwenye shirikisho.

At least tukajitahidi.kule tukafikepo fainali ili kutupe confidence ya kuweza kuishinda laana ya robo fainali.

Inauma sana kusema kweli, Binafsi siwezi kuidanganya nafsi yangu na takwimu wala perfomance.

Kuna pahala viongozi wetu inabidi waangalie tunapokwama. Bila hivyo wale Yanga watakuja siku moja kufika fainali kwenye michuano mikubwa kabla yetu sisi, ikiwa ukweli ni kwamba sisi ndio tulio waonyesha njia.

Inakera, Inauma na Inaudhi kwa kweli.

Jamani viongozi wetu kama mpo humu mpitiepo kwenye comments za uzi huu ili mpate mawazi yatakayo tutoa kwenye laana ya robo fainali.

Wadau ambao mmeumizwa na karibuni kwa mawazo, Hopeful viongozi wataona na kufanyia kazi mawazo yetu kwa ujumla.
Pole sana mtani

Ifikie kipindi Simba wajifunze kwa wanaojua
 
Mwanasimba huyu ndio anaejitambua mwenye uchungu wa mafanikio.
MPaka nimemuonea huruma yaani ndugu demigod
Wanaojua akina nani? Utopolo?
Masandawana kaka zao na Yanga
Screenshot_20231025-094909_Chrome.jpg
20231025_090204.jpg
 
Ni vyema kufikia hatua za mwisho kabisa za kila shindano.

Kuishia katikati na kujipiga nafsi konde kumekuwa ndio mtindo wetu wa Maisha. Mimi kama Shabiki wa Simba naumia mno kwakweli.

Ifike hatua ukweli usemwe.

Kwanini kila mara robo robo robo robo...Hii inakela kwa kweli. Roho inaniuma hadi nakosa kula. Nakosa hata usingizi muda huu..

Kwanini timu Yangu simba inaniumiza hivi?

Basi kama inashindikana kwenye mashindano haya makubwa basi tujaribu kwenye shirikisho.

At least tukajitahidi.kule tukafikepo fainali ili kutupe confidence ya kuweza kuishinda laana ya robo fainali.

Inauma sana kusema kweli, Binafsi siwezi kuidanganya nafsi yangu na takwimu wala perfomance.

Kuna pahala viongozi wetu inabidi waangalie tunapokwama. Bila hivyo wale Yanga watakuja siku moja kufika fainali kwenye michuano mikubwa kabla yetu sisi, ikiwa ukweli ni kwamba sisi ndio tulio waonyesha njia.

Inakera, Inauma na Inaudhi kwa kweli.

Jamani viongozi wetu kama mpo humu mpitiepo kwenye comments za uzi huu ili mpate mawazi yatakayo tutoa kwenye laana ya robo fainali.

Wadau ambao mmeumizwa na karibuni kwa mawazo, Hopeful viongozi wataona na kufanyia kazi mawazo yetu kwa ujumla.
We ni uto tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kama Ni rahisi kumfunga Al Ahly subiri na wewe utacheza nae!
 
Watu humu hawajui km mpira huwaunachezwa uwanjani sehemu ya wazi.

Mnaucheza mdomoni!
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom