Hebu jumkisha toka 1993 mpaka Sasa ni muda gani afu mje na ile hoja yenu ya yanga ana miaka 25 hajacheza makundi ndio mtajua nyie ni wapuuzi.Huwa najiuliza sana sipati jibu. Hivi yanga wanapodai ana medali ina maana Simba 1993 hawakuvaa? Simba ni finalist 1993 na walivaa medali so issue ya medals sio kitu maana wote wamevaa. Issue hapa tutoke kwenye medals tuchukue kombe ila kuanzia mashabiki, viongozi kina Privaldinho wote wanashupaza shingo medali medali vitu vya ajabu kabisa
Mbona nyie mmeridhika na medaliSasa kuchukua medali ni ishara kwamba umefika hatua nzuri kuliko kushangilia robo fainali kila kukicha...
Mimi.inaniuma kwa kweli kama mmeridhika na robo fainali mimi bado.
Naamini fainal success iwe kushiriki fainali. Hapo ndio unaweza kusema tumepambana.
Tena inashangaza unaona goli limeingia refa anasema kona. Au ile Lomalisa anapiga krosi nje ya mstari goli linafungwa weka kati. Au ile ya Geita faulo katikati ya uwanja refa anasema penati! Hatuwezi kufika mbali.Aya mashindano hayana mambo yenu ya kipiuzi ya makosa ya kibinadamu.
Yaani kila mkicheza ligi lazima yatokee makosa ya kibinadamu, hamuwezi kupiga hatua kimataifa.
Pole sana mtaniNi vyema kufikia hatua za mwisho kabisa za kila shindano.
Kuishia katikati na kujipiga nafsi konde kumekuwa ndio mtindo wetu wa Maisha. Mimi kama Shabiki wa Simba naumia mno kwakweli.
Ifike hatua ukweli usemwe.
Kwanini kila mara robo robo robo robo...Hii inakela kwa kweli. Roho inaniuma hadi nakosa kula. Nakosa hata usingizi muda huu..
Kwanini timu Yangu simba inaniumiza hivi?
Basi kama inashindikana kwenye mashindano haya makubwa basi tujaribu kwenye shirikisho.
At least tukajitahidi.kule tukafikepo fainali ili kutupe confidence ya kuweza kuishinda laana ya robo fainali.
Inauma sana kusema kweli, Binafsi siwezi kuidanganya nafsi yangu na takwimu wala perfomance.
Kuna pahala viongozi wetu inabidi waangalie tunapokwama. Bila hivyo wale Yanga watakuja siku moja kufika fainali kwenye michuano mikubwa kabla yetu sisi, ikiwa ukweli ni kwamba sisi ndio tulio waonyesha njia.
Inakera, Inauma na Inaudhi kwa kweli.
Jamani viongozi wetu kama mpo humu mpitiepo kwenye comments za uzi huu ili mpate mawazi yatakayo tutoa kwenye laana ya robo fainali.
Wadau ambao mmeumizwa na karibuni kwa mawazo, Hopeful viongozi wataona na kufanyia kazi mawazo yetu kwa ujumla.
Mwanasimba mwenzio huyoMbona nyie mmeridhika na medali
Wanaojua akina nani? Utopolo?Pole sana mtani
Ifikie kipindi Simba wajifunze kwa wanaojua
We ni uto tuNi vyema kufikia hatua za mwisho kabisa za kila shindano.
Kuishia katikati na kujipiga nafsi konde kumekuwa ndio mtindo wetu wa Maisha. Mimi kama Shabiki wa Simba naumia mno kwakweli.
Ifike hatua ukweli usemwe.
Kwanini kila mara robo robo robo robo...Hii inakela kwa kweli. Roho inaniuma hadi nakosa kula. Nakosa hata usingizi muda huu..
Kwanini timu Yangu simba inaniumiza hivi?
Basi kama inashindikana kwenye mashindano haya makubwa basi tujaribu kwenye shirikisho.
At least tukajitahidi.kule tukafikepo fainali ili kutupe confidence ya kuweza kuishinda laana ya robo fainali.
Inauma sana kusema kweli, Binafsi siwezi kuidanganya nafsi yangu na takwimu wala perfomance.
Kuna pahala viongozi wetu inabidi waangalie tunapokwama. Bila hivyo wale Yanga watakuja siku moja kufika fainali kwenye michuano mikubwa kabla yetu sisi, ikiwa ukweli ni kwamba sisi ndio tulio waonyesha njia.
Inakera, Inauma na Inaudhi kwa kweli.
Jamani viongozi wetu kama mpo humu mpitiepo kwenye comments za uzi huu ili mpate mawazi yatakayo tutoa kwenye laana ya robo fainali.
Wadau ambao mmeumizwa na karibuni kwa mawazo, Hopeful viongozi wataona na kufanyia kazi mawazo yetu kwa ujumla.
Hakuna mwanasimba fala weweMwanasimba mwenzio huyo
Kama Ni rahisi kumfunga Al Ahly subiri na wewe utacheza nae!Ni vyema kufikia hatua za mwisho kabisa za kila shindano.