tufanye nini tupate maendeleo tanzania?

tufanye nini tupate maendeleo tanzania?

Banmata

New Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
2
Reaction score
0
tuache uvivu ,siasa,starehe,tuongeze idadi ya wanaelimu,tufanye kazi kwa ushirikiano ahs
 
kwa hali ilivyo sasa inaonesha baada ya miaka kumi mbele watanzania tutakuwa kama wanaijeria,matapeli kwa sababu ya kutojishughulisha.
mfumo wetu wa maisha ni mzuri sana kiasi kwamba kama unajishughulisha kweli na unanidhamu na shughuli unazozifanya basi kwa muda mchache tu unakuwa katika mamilionea lakini tatizo liko wapi?mimi nasema tatizo ni sis wenyewe hatuko tayari kukabiliana na changamoto,bali tunataka kuonekana tuko sahihi muda wote kwa kufanya starehe,michezo sana,kufanya yasiyo na mana muda wote kuongea siasa kila wakati na kuwa na mtazamo hasi dhidi ya viongozi.
hakuna kiongozi atakaye kuletea maendeleo kama hujitumi na kuokoa wengine.
sisi tunaumoja wetu tunaotoa elimu juu ya mtindo wa maisha wa karne hii kwa kuwafundisha watu elimu juu ya kujikwamua na umaskini na muda si mrefu nchi yetu itakuwa na mamilionea wengi vijana.lakini lengo letu ni kuwagusa watanzania waliowengi zaidi na kama utakuwa tayari basi acha siasa huko na uje tufanye kazi yenye mafanikio sio nadharia.
unaweza kututafuta kwenye website hii: Home au ukatumia e- mail ifuatayo 21century.bussiness@yahoo.com.
karibuni sana wadau kwenye new life style.
 
Back
Top Bottom