Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile karasha zinaitwa, kuna jamaa yangu shy anazitengeneza hta utake MiaAisee .. ulianzia na mtaji wa kiasi gani mkuu ... !!?
Si-nilazima uwe na zile machine za kusaga mawe ya dhahabu !? Ili wale wachimbaji wakisha chekecha kwenye machine zako wewe unabaki na yale makinikinia
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah karasha ... nataka kujua investment ya karasha 3 kwanza mkuu ...Zile karasha zinaitwa, kuna jamaa yangu shy anazitengeneza hta utake Mia
Sent using Jamii Forums mobile app
Shilingi ngapi crasher moja mkuu?Zile karasha zinaitwa, kuna jamaa yangu shy anazitengeneza hta utake Mia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki pm kesho tutajuzana mengi kama upo seriouslyYeah karasha ... nataka kujua investment ya karasha 3 kwanza mkuu ...
Maana huwa najua kwamba wachimbaji wana kuletea mawe una yasaga .." baada ya kazi kuisha mnakwenda kwa digala kupima mzigo " digala akinunua mnagawana pesa " .na mchimbaji ...ugawaji wa pesa utategemea na idadi ya viroba ambavyo mchimbaji alivyo visaga kwenye karasha zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona una amini jicho la tatu.Iv nikweli jf hakuna free masoon au mtu anae tumia njia za kienyej ktk utafutaj tusaidiane wajamen"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anatunyoosha tuhalaf mbaya zaidi shetan akazaa mwana ambaye amekuja bongo,tunanyooka kisawa sawa
Mkuu sina hata aidia naomba ukipata taarifa zaid unimegee na mie tujitose sote pm yangu iko free tu
Ata tukiwemo ni ngumu kukupa mbinu za kutawala mazingira yako ,,ila elewa mawazo yako ndo utajiri wakoIv nikweli jf hakuna free masoon au mtu anae tumia njia za kienyej ktk utafutaj tusaidiane wajamen"
Brother uschomoe siri ya mafanikio
Wewe mbona hujatokaNenda machimboni mkuu hasa hasa kwenye dhahabu, alaf uwe na kianzio cha kununulia marudio, alaf unatengeneza kitu kinachoitwa Mwalo, baada ya miaka miwili lzma utoke kimaisha
Sent using Jamii Forums mobile app