Tufanye nini tupate utajiri?

Zile karasha zinaitwa, kuna jamaa yangu shy anazitengeneza hta utake Mia

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah karasha ... nataka kujua investment ya karasha 3 kwanza mkuu ...

Maana huwa najua kwamba wachimbaji wana kuletea mawe una yasaga .." baada ya kazi kuisha mnakwenda kwa digala kupima mzigo " digala akinunua mnagawana pesa " .na mchimbaji ...ugawaji wa pesa utategemea na idadi ya viroba ambavyo mchimbaji alivyo visaga kwenye karasha zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicheki pm kesho tutajuzana mengi kama upo seriously

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajiri upo wa aina nyingi,mimi mwenyewe hapa Tajiri....Ila sina pesa! Nafsi ipo Mubashar...
 
Iv nikweli jf hakuna free masoon au mtu anae tumia njia za kienyej ktk utafutaj tusaidiane wajamen"
Ata tukiwemo ni ngumu kukupa mbinu za kutawala mazingira yako ,,ila elewa mawazo yako ndo utajiri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…