Tufanye survey kwa mafunzo ya vitendo

Naona hakuna waliojibu, mimi nasisitiza Kwa waliopo Mwanza, Geita na Simiyu wanaweza kuja kwangu Mwanza kujifunza Ufugaji Nyuki na uzalishaji mazao Sita.

Navuna Asali, Nta, Pollen, Propolis na Sumu ya Nyuki. Karibuni.
Call +255622 642620
 
Wanapitia na wanakuja sana PM, baadhi nimewakumbusha kuchukua hio namba wakutafute mkuu.

Asante kwa ushirikiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…