Tufanye tathmini (review) ya robo mwaka (Q1: Jan to March 2024)

Tufanye tathmini (review) ya robo mwaka (Q1: Jan to March 2024)

Wakuu, Heri ya Pasaka

Ni juzi juzi tu tumeanza mwaka 2024. Mwaka unakimbia kwa speed ya 6G

Mara nyingi huwa tunafanya review za mipango yetu mwisho wa mwaka, kuangalia nini tumefanikisha na nini tumeshindwa kufanikisha.

This time nimeona bora niwe nafanya review kwa quarter.

Kati ya malengo niliyoweka ni pamoja na haya ;
1. Financial goals (Saving every month >=600k)
2. Self Improvement (Reading books, 1 every week)
3. Health care improvement (eating health & body exercise at least 4 days per week)

RESULTS
1. Financial goals: Nina savings za 2M hadi mda huu naandika hii thread
2. Sijamaliza kitabu cha kwanza nlichoanza kusoma🙁
3. Kwenye health nimefanikisha kula balanced diet vizuri, Ila mazoezi sina consistency, on average ni 2 days per week

HEADING TO Q2
1. Financial goals: Saving threshold naweka 1M per month
2. Self Improvement : Kwa april ntasoma vitabu vitatu. May na june vitabu sita
3. Health care : naacha vile-vile 4 days body exercise

Karibuni kushare progress yako katika Q1 kama kuna mistake ambazo umefanya au vitu vizuri umefanya tusifunze kwa pamoja.

Mwenyezi Mungu akijalia uzima na afya, nitarudi End of Q2 Kushare progress
Depal Mshana Jr cocastic Mgalikoko Mad Max RRONDO The Knowledge Seeker Beberu Ncha Kali Joseverest
Kuna mambo nili plan nifanye mwaka huu;kufanya saving naenda vizuri sana maana hii kitu kwa Wabongo wengi ni mtihani lakini vilevile Kuna plot nilikuwa naitafutia pesa tangu 2023 lakini this Q1 tayari nimeshanunua cash na sasa nimeingia kwenye mipango ya Q2 ya kujenga,nipo level ya kupaua!
 
Ndo wengi wetu lakini tunaishi hivi ilimradi kunakucha, ila ukijiwekea malengo afu yakatimia kuna raha flani unapata, inapunguza stress automatic unajikuta kwenye maisha yenye furaha
Ni sahihi usemacho..sasa na save nini wakat nachopata ni direct proportional to my expenditure? Hand to mouth
 
Lets say ume savee weeeeee mpaka kias flan, ghafla shida inakukuta na huna source nyingine, what r u going to do???
Unasomaga vitabu? If yes....soma hicho kitabu cha love yourself pay yourself first.

Hicho kitu kama vile huwa kipo natural 🤣🤣🤣 ukiwa hauna hela matatizo hayaji, anza tu kusave ni kama vile hela inaattract yani, yanakuja yamepangana...

Hapo unatumia tu ila inategemea umesave kwa ajili gani???
 
I used to save money way back but am no longer convinced kwenye hili suala.

Saving nazofanya siku hiz ni short term kwa ajilnya malengo ya hapa na pale.
Mfano najua miezi mi 3 ijayo natakiwa kulipa ada, hapo ni save save ili ukifika muda nikalipe, but for ling term purpose nilisha badili mtazamo kabisa.

Now days mimi ni muumini wa kutengeneza pesa zaid kuliko kutunza.
Am convinced and believe kwamba saving should be something automatic. Siwez kujihangaisha ku save pesa ambazo nitazitumia muda wowote ule ambapo siwez jua ni lini.

Kama unafanya biashara and if ur biznes keeps on generating money that exceeds your expenses bas hapo unakua umefikia uhuru wa kwel wa kipato.

Hiki ndio nakifanya kwq nguvu kwasasa
 
Saving inatakiwa iwe na malengo ndio, unasave kwa ajili ya nini?? Sio kuweka tu hela kama zinasubiri kutotoa
 
Ahahahahahah.
Ofcz kwel mimi ni CEO hata Jane Msowoya analijua hilo ,ila sasa kichekesho. Kwan ukiwa machinga una kabiashara kako, wewe su ndio CEO au kuna mwingine??
hahaha Security
the goal is to run a business
Wewe mwenye mtaji wa 1b na mimi mwenye mtaji wa 100k tunamtegemea mteja mmoja so wote ni ma CEO
 
Back
Top Bottom