Yooo! Hongera, ubarikiwe & ukafanikiwe zaidi katika malengo yako.
Huu mwaka ni kama una baraka flani hivi. Mungu aendelee kuufanya mwepesi zaidi… sijui ni sbb unagawanyika? Yan uko very soft.
Vitabu nilivyosoma..
BIBLIA- kila siku
Tenzi za rohoni- kila siku
Chuo kidogo cha Sala’ Kwaresma imeisha,, iko sidhani kama nitakifungua tena 😂
Afya: Toka mwaka umeanza mpk dk hii sijafika mlango wa Hospital,, mazoezi sifanyi.. ila uwa natembea tembea+ ngazi nikiwa huko kwenye mkate wa kila siku.
Saving… God is Great, naziweka kikoba & saccoss
Mr Confidential unasevia bank au? Unayashinda vipi majaribu ya kwenda kuzidokoa?