Tufanye tunaishi nyumba moja, hebu tutiririke vibwanga na vituko ndani ya Mjengo.

Tufanye tunaishi nyumba moja, hebu tutiririke vibwanga na vituko ndani ya Mjengo.

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Wajameni, hebu tufanye tuko ndani na tunaishi ndani ya nyumba moja ambapo vihoja, vituko na vibwanga havikosekani!
Vingine vinafurahisha na vingine vinakera!
Haya mimi naanza…..

“Nani kala kiporo changu…, halafu mbona sioni kamba za viatu?”
 
Back
Top Bottom