Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,120 Reaction score 24,667 Aug 4, 2024 #1 Wajameni, hebu tufanye tuko ndani na tunaishi ndani ya nyumba moja ambapo vihoja, vituko na vibwanga havikosekani! Vingine vinafurahisha na vingine vinakera! Haya mimi naanza….. “Nani kala kiporo changu…, halafu mbona sioni kamba za viatu?”
Wajameni, hebu tufanye tuko ndani na tunaishi ndani ya nyumba moja ambapo vihoja, vituko na vibwanga havikosekani! Vingine vinafurahisha na vingine vinakera! Haya mimi naanza….. “Nani kala kiporo changu…, halafu mbona sioni kamba za viatu?”