Tufanye Ubinafsishaji kwenye utoaji wa haki jinai, uwajibikaji na elimu ya Uraia

naggy

Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
97
Reaction score
156
Ni Wakati muafaka sasa tufanye foreign investment kwenye usimamizi wa demokrasia na utoaji na utendaji haki nchini, kama tunavyofanya kwenye madini, mapori, na bandari, gas, na kwingineko, kwa kuwa sisi hatuko vizuri kwenye eneo lolote lile. Tunapovutia wawekezaji kwenye nyanja za kiuchumi, tusisahau pia kwenye nyanja za kisiasa, haki, utawala wa sheria, usimamizi wa sheria na uwajibikaji.

Hii itatusaidia kupata viongozi bora ambao watatengeneza mifumo bora na wenye kuwajibika. Itatusaidia pia kuwafanya wannanchi wajitambue kwa kuwa wao kwa umoja wao ndiyo wanaoweza kuwawajibisha viongozi wasiofaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…