Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Haya ni maoni na mtazamo wangu kama vile wengine wanavyotoa maoni yao kupitia sehemu mbalimbali
Uchaguzi mwakani naona ufanyike kwa Wabunge na Madiwani lakini kwenye Urais tusipoteze muda maana hakuna wa kuweza kushindana na Rais Magufuli
Hizo pesa zingine zielekezwe kwenye miradi ya Wananchi,Sioni viashiria vyovyote kwamba kuna Upinzani utakaoweza kupata kura za Urais tofauti na Rais Magufuli
Vyama vya Upinzani vimeshapoteza Dira na mwelekeo kwa maana sasa havina sera wala mkakati wowote utakao washawishi wananchi kuwapigia kura
Ndani ya miaka minne ya Urais wa Dr John Magufuli amefanya mambo makubwa ambayo hatukuyaona miongo kama mitatu
Wananachi wanaitaji Maendeleo tu na sio Demokrasia madhali tuna Kiongozi mwenye maono Dr John Magufuli basi tuendelee kumpa ushirikiano siku zote
Alex Fredrick
Dodoma