Uchaguzi 2020 Tufanye Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani, Rais Magufuli hana Mpinzani

Naomba usinihusishe kwenye mambo ya uchafuzi, sikuniandikisha na sitajiandikisha tena ng'o.
 
Haya mawazo potofu yanatoka kwenye watu wachache wanaoandika kuwakilisha kikundi kidogo cha watawala. Magufuli hajawahi kushinda chochote ambacho kimesimamiwa sawasawa. Aidha amehujumu mshindani wakati wa kugombea ubunge au amepewa kura za kuibwa na Jaji Lubuva.

Kiujumla Magufuli ni mwepesi kama karatasi na mwoga kama mjusi wa nyumbani.
 
Ukizunguka mkoani kote ndo utajua Rais Magufuli anafanya nini,Lakini muda wote upo Dar huwezi kuelewa
 
Nchi itaoza kabisa. Bunge litatunga sheria ya kumfanya rais aabudiwe.

Linaweza kuja na amri kumi za jiwe. Kuwalazimisha wajinga wamuimbie mapambio na sifa.
 
wewe ni mgeni dunia hii ya Tanzania rudi jupita
 
Nyie lia lia humu tunawajua humu,Nchi inasonga na Watanzania wanaelewa hili
 
Wazo zuri vipi hatutowaudhi wahisani wakatunyima misaada kuzuia haki za vyama vingine kushiriki
Mkuu mulaga naomba kuuliza,hivi 'wahisani wetu' wanapata manufaa gani haki za vyama vya kisiasa zinapozingatiwa nchi au je,vyama vya siasa vikikandamizwa wao wanapata hasara gani?
 
Mkuu mulaga naomba kuuliza,hivi 'wahisani wetu' wanapata manufaa gani haki za vyama vya kisiasa zinapozingatiwa nchi au je,vyama vya siasa vikikandamizwa wao wanapata hasara gani?
Lengo ni kuepusha gharama za kuhudumia wakimbizi ukosefu wa haki unaleta vita,watawala Wa Africa ndo chanzo cha wakimbizi Africa sababu ya uroho na ukosefu wa malezi bora utotoni
 
Bora kuacha chaguzi za wabunge na madiwani na kufanya uchaguzi wa Rais utakao simamiwa na tume huru.
 
Hiyo katiba unayotumia ya ccm au ya wazazi wako?
Maoni yangu tu.
 
Naunga mkono hoja

P
 
Na vipi kuhusu wao kusemekana kuhusika na machafuko ya baadhi ya nchi za Afrika?
Lengo ni kuepusha gharama za kuhudumia wakimbizi ukosefu wa haki unaleta vita,watawala Wa Africa ndo chanzo cha wakimbizi Africa sababu ya uroho na ukosefu wa malezi bora utotoni
 
Siku zote wapinzani walipokuwa wanalalamika ukosefu was demokrasia matokeo take ndiyo haya sasa
 
Na vipi kuhusu wao kusemekana kuhusika na machafuko ya baadhi ya nchi za Afrika?
Vyote lzm kuwe na mgawanyiko ambao umesababishwa na mtawala asiyetenda haki hivo upata upenyo wa kuwatumia upande unaodai haki kulipua moto.Taifa lolote lisilo na umoja lisiloongea lugha moja haitaji miaka kusambaratishwa na adui.Kiongozi smart uwaunganisha watu wake kwa kuwatendea haki,kutowabagua wengine ili adui asiwatumie wale wengine kumsambaratisha
 
Kabla hamjaja na upuuzi wenu huu fanyeni kwanza Tathmini ni Watz wangapi (%) walijitokeza kupiga kura tar 24/11/2019.
 
Kama ni mwanamme kweli aruhusu uchaguzi huru na haki aone kazi kama hajaazima kura kama alivyofanya kwa lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…