Tufanye wewe ni mganga wa kienyeji 😂

Tufanye wewe ni mganga wa kienyeji 😂

Tufanye wewe mwanamke kuna dawa nataka nikuwekee huko kwa bibi
 
Lete
1. Mbuzi mkubwa mweusi beberu
2. Mafuta kindoo kidogo
3.Mchele debe
4.Nyanya , Vitunguu,Karoti, hoho , tangawizi, swaumu & Pilipili
5.Vifaa vingine utavikuta, ubebe 50K za kuvigharamia...usisahau nyembe mpya za kukuchanja makalioni.
 
Niletee sisimizi mwenye Matege

Fanya hivyo alafu tuendelee...
 
Kila siku asubuhi unachukua million kumi hakikisha ndani ya masaa 24 ziwe zimeisha zote isibaki hata buku ilibaki tu anaondoka ndugu yako Kama mbadala wa kukiuka masharti.
Utajiri huu upo Kahama.
 
Back
Top Bottom