Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Tukufanye mzimuNipe masharti yako ili nitajirike, tuone mwenye masharti magumu π
Nikiwa mzimu hela nitazifaidije sasa πTukufanye mzimu
Duh ππNingekua mganga sharti ni moja niletee nywele za kwapa za Lucas mwashambwa au niletee kucha za Mpwayungu Village πππ
Aiseeniletee jogoo shoga, na jasho la samaki
MhhNiletee sisimizi mwenye makengeza
Kwa kwelingoja nione wanaopenda kazi ya uganga
π€£π€£ogezea na matiti ya mjusi....
Mbona kama unataka kupika msosi π€£Lete
1. Mbuzi mkubwa mweusi beberu
2. Mafuta kindoo kidogo
3.Mchele debe
4.Nyanya , Vitunguu,Karoti, hoho , tangawizi, swaumu & Pilipili
5.Vifaa vingine utavikuta, ubebe 50K za kuvigharamia...usisahau nyembe mpya za kukuchanja makalioni.