Wanaume kwa unafkiii
Mkeo akija na hayo mapigo unaanza kuwaza kayatoa wapi...wamama wanabaki wanakomaa na vitenge tu...nje unatoa macho hahaha[emoji28]
Aliyewapa wadangaji wazo la kufatilia mpira apewe kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha haramu.
Demu wako akianza kwenda gym mpige umuue....
Naona mzee Kimario anateseka roho na kili Marathon. Mwambieni awahishe mboga nyumbani View attachment 1376119
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa next time kale mdudu wao. Ntakupa code umwambie owner wa pale nimekuelekeza hutajuta yule mdudu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumaliza mboo wala mbio za 42km. I always do half marathon and yes siku nikikutana na hiyo mb*oo hata ya ultra ntarara nayo mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
yan wanakula na kuliwa tunda kimasihara ? daaahh kweli RICKBOY THE SATANIST ALIONA MBALI 🤣🤣🤣[emoji2]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Edit hapo..hizo mb** 42 ni nyingi mnoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Joy pale pana mbuzi mtamuu balaa...
Tatizo pale wadada njaa sana,kila baada ya dk 20 kinakuja kimemo chenye namba za simu
ila ww kwa mdudu atakuja kukutoaa roho my dear kun chimbo mojaa sinza nakuambiaa ukionja lazima uhamiee hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
uwiiiii typing error usingizi ulikuwa unaninyemeleaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ultraaaa pig keleeeee kwa mzigu ake weeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa next time kale mdudu wao. Ntakupa code umwambie owner wa pale nimekuelekeza hutajuta yule mdudu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na nidhamu binti, usinijibu Kama unajikamua ushuzi msalaninani ambaye sasa hana helaa???n mada inahusian vip na ukosefu wa ela??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mali yake anatembea nayo
Uwii. Sinza wapi hiyo?? Mimi bwana na mambo ya kula vizuri kama nimerogewa. Hela za kufanya makubwa sana hata kula napo nishindwe shoo?
Naomba hiyo code ya Sinza chaaap.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu achunge mbwa yake, hakuna anaefuatwa manyumbaniTatizo siyo Kili marathon bali ndoa zenu.