Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

IMG-20200303-WA0013.jpg

Kazi ipo
 
Ndio maana nawaambia watu kama umeoa kahaba ataliwa tu hata aende gengeni,sokoni,n.k swala lakuliwa ni akili ya mtu tu hata akiwa mazingira shawishi.
Huwezi kuchukua maamuzi yakumuoa mtu halafu unaishi nae kwa wasi wasi kama upo na kiongozi wa al shabab....

2022 mama inafikaa utaruhusiwa kwenda hadi mars[emoji23][emoji23][emoji23]
Penye wengi hakukosi mengi. Nashiriki marathon sana na haya mambo yapo na ni ya kawaida. Msiseme Kili marathon tu mkumbuke hata makanisani haya mambo yapo.

Tukiendelea kuhukumu makusanyiko ya wanawake na wanaume ipo siku tutaambiana msiruhusu wake/waume zenu waende kanisani wataliwa.

Kama mtu una nia ya dhati ya mbio kakimbie, kama umefuata mboga/madanga akili kumkichwa. Tukumbushane tu umakini ila hamna cha ajabu kinachofanyika kwenye marathon na wengine wanasema gym hakifanyiki sehemu nyingine.

Btw Kili Marathon ilikua nzuri

Wakimbiaji wenzangu tukutane BIMA MARATHON [emoji6][emoji6][emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Auntie tuanze mazoezi hata ya kuzunguka nyumba mwakani tuunge tela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie mimi na mambo za kukimbia siwezi hata acha niwe shabiki wako tu
 
Miaka miwili imebaki bby tuhalalishe
Ndio maana nawaambia watu kama umeoa kahaba ataliwa tu hata aende gengeni,sokoni,n.k swala lakuliwa ni akili ya mtu tu hata akiwa mazingira shawishi.
Huwezi kuchukua maamuzi yakumuoa mtu halafu unaishi nae kwa wasi wasi kama upo na kiongozi wa al shabab....

2022 mama inafikaa utaruhusiwa kwenda hadi mars[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Twende ya mkoani kwetu basi. Ukifika chumvini utaimba mdumange mpaka umalize mamiyake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie mimi na mambo za kukimbia siwezi hata acha niwe shabiki wako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom