Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Penye wengi hakukosi mengi. Nashiriki marathon sana na haya mambo yapo na ni ya kawaida. Msiseme Kili marathon tu mkumbuke hata makanisani haya mambo yapo.

Tukiendelea kuhukumu makusanyiko ya wanawake na wanaume ipo siku tutaambiana msiruhusu wake/waume zenu waende kanisani wataliwa.

Kama mtu una nia ya dhati ya mbio kakimbie, kama umefuata mboga/madanga akili kumkichwa. Tukumbushane tu umakini ila hamna cha ajabu kinachofanyika kwenye marathon na wengine wanasema gym hakifanyiki sehemu nyingine.

Btw Kili Marathon ilikua nzuri

Wakimbiaji wenzangu tukutane BIMA MARATHON [emoji6][emoji6][emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No evidence no Right to speak this kind of non sense shit
Natumaini wote mu wazima,

Mama lao sina maneno mengi ila tuseme tu ukweli Kili Marathon ishapoteza mvuto sio kama zile Kili za zamani tulizokuwa tunazosikiaa kipindi hicho. Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano, kila ufuska huwa unafanyika Moshi

Yaani kuna kudanga na kudangwa sio kila mtu anaenda kwa ajili ya Marathon ila wanatumiaa mgongo wa Marathon kwenda Moshi kujivinjari

Hasa Wanaume manake unakuta mtu anaaga nyumbani kuwa anaenda kwa Marathon kumbe kashaandaa kiburudishi pembeni same applied to wadangaji nao washafanya ni chimbo la kupatiaa Wanaume.

Thats why unakutaa siku hizi kilaa mtu anajifanya anapenda Marathon.

Jamani Wanawake wenzangu kuweni macho na haya ma-marathon ya kila siku ambao yameshakuwa kama fashooooni mjini haya mama, marathon 25% ndo wapo kimarathon zaidi but the rest 75% ni kwa ajili ya kwenda kusaka na kusakwa niliyo yaona Moshi yanatoshaa jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rafiki yangu alikua anaongoza kwa mdomo anasema kwenye mbio watu wanaenda kudanga. Kuna siku nimekutana nae kwenye starehe huko akaanza nisifia nimepungua blah blah nikamwambia sababu nakimbia nikamkaribisha na yeye kwenye programs zetu za Goba kila Jumanne na Alhamisi.

After two weeks zikaja tena hizi discussion za marathon na umalaya kwenye group yetu ya chuo. Akasema yeye hawezi kukimbia kwanza mbio ni umalaya na hawezi kukimbia hata km 1 sio mambo yake.

Tukaonana tena mwezi wa kwanza mwanzoni akaona nilivyopungua tena.
Sasa hivi nakimbia nae kila siku. Tena siku nyingine nikitoka ofisini nimevurugwa sitaki kukimbia anaenda mwenyewe kukimbia.

Last week anasema boyfriend wake kamsifia alivyopungua na akanishukuru nimemsaidia kuweza kukimbia na kumfutia mentality ya kujudge wengine kwa kitu ambacho wachache wanakifanya.

Haya mambo ni akili yako maana hata iweje hayakwepeki kunapokua na jinsia mbili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penye wengi hakukosi mengi. Nashiriki marathon sana na haya mambo yapo na ni ya kawaida. Msiseme Kili marathon tu mkumbuke hata makanisani haya mambo yapo.

Tukiendelea kuhukumu makusanyiko ya wanawake na wanaume ipo siku tutaambiana msiruhusu wake/waume zenu waende kanisani wataliwa.

Kama mtu una nia ya dhati ya mbio kakimbie, kama umefuata mboga/madanga akili kumkichwa. Tukumbushane tu umakini ila hamna cha ajabu kinachofanyika kwenye marathon na wengine wanasema gym hakifanyiki sehemu nyingine.

Btw Kili Marathon ilikua nzuri

Wakimbiaji wenzangu tukutane BIMA MARATHON [emoji6][emoji6][emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie kazi yangu itakua kukufuta jasho tuu, kwenye BIMA MARATHON 😂 😂
 
sina cha kukujibu hivi kuna mwanamke anakosaga mwanaume??labda aaamuee kuwa hataki

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yamebadilika, waoaji wamepungua kwasababuya vijana wanaopaswa kuoa kutokuwa na kazi. Sisi wenye kipato chetu afu mahandsome, tunagomaniwa. Kuna mabinti hawakujaaliwa hivyo hawapati hata jock kwa wakaa. Ukisema salaam hawakosi si kweli, wanasema wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kumbe uko wapi nikutafute... huwezi jua mipango ya mungu ujue ( hii "mungu" ilivyoandikwa na ieleweke hivyohivyo)

Nipo kanjunjumele[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Duh mkeo akiwa analiwa nje mume unakuwa wa mwisho kujua!
Ndo inavyokuwaga, hata mume akiwa anachepuka unakuwa wa mwisho kujua.

Mumewe hubaki nyumbani na watoto akijua mke yupo marathon kumbe kila marathon anakwenda na mchepuko wake.
 
Back
Top Bottom