Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Were hujapata ajali!? Wenzako wamegonga treni huko
 
Natumaini wote mu wazima,

Mama lao sina maneno mengi ila tuseme tu ukweli Kili Marathon ishapoteza mvuto sio kama zile Kili za zamani tulizokuwa tunazosikiaa kipindi hicho. Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano, kila ufuska huwa unafanyika Moshi

Yaani kuna kudanga na kudangwa sio kila mtu anaenda kwa ajili ya Marathon ila wanatumiaa mgongo wa Marathon kwenda Moshi kujivinjari

Hasa Wanaume manake unakuta mtu anaaga nyumbani kuwa anaenda kwa Marathon kumbe kashaandaa kiburudishi pembeni same applied to wadangaji nao washafanya ni chimbo la kupatiaa Wanaume.

Thats why unakutaa siku hizi kilaa mtu anajifanya anapenda Marathon.

Jamani Wanawake wenzangu kuweni macho na haya ma-marathon ya kila siku ambao yameshakuwa kama fashooooni mjini haya mama, marathon 25% ndo wapo kimarathon zaidi but the rest 75% ni kwa ajili ya kwenda kusaka na kusakwa niliyo yaona Moshi yanatoshaa jaman

Weka vipicha basi vya wale warembo na vicondom vyao bwana
 
Hivi sasa mjini Moshi baa kuuza kreti mbili za bia kwa siku ni ishu na nyamachoma ile ya Majengo siyo ile uijuayo kwishney! Marasioni angalau inawakeshesha watu wakigida, kula na kulana ili wasichelewe kuamkia marasioni, wepesiiiii kama unyoya wa kifaranga.
 
Wazo jema ila umeliongea negative sana! Kumbuka ni mkusanyiko wa watu wengi na kwa miaka ya karibuni imeonesha kushika kasi kubwa na kuongeza pato la nchi na mkoa kwa ujumla wake.

Kuwepo kwa ufuska ni tabia tu za baadhi ya watu wachache walioamua kufanya hivyo na ikumbukwe tu huwezi mlinda kila mtu kwasababu hata huko maofisini wanawake kwa wanaume wanatianaaa sana tu tenaaa mnooo kuliko hata tukio hilo la kilimarathoni.

Tusipende kuongea sana negative negativeeee,,penye wengi pana mengi mbona misemo iko wazi? Na hata zamani walikuwepo wachepukaji kili marathon sema sikuhizi inajulikana sana na watu wanafurahia Mara moja moja.

Mama la mama, ukiona vepeee jikusanye na mmeo mfate hapo nyuma maana hatoibiwa! Wala hata tia nje!

Just thinking aloud!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta Post ya mwaka jana baada ya Kili Marathon usome mkesha wa Majengo kuamkia uwanjani, huu ni muendelezo na hauzungumzii wanaotoka nje ya nchi.
 
[emoji119][emoji119]
Screenshot_20200303-122545_Instagram.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Wanawake wenzangu kuweni macho na haya ma-marathon ya kila siku ambao yameshakuwa kama fashooooni mjini haya mama, marathon 25% ndo wapo kimarathon zaidi but the rest 75% ni kwa ajili ya kwenda kusaka na kusakwa niliyo yaona Moshi yanatoshaa jaman
Hizi Takwimu zako zinakibali cha NBS?; kumbuka sheria ya takwimu ipo na inafanya kazi na mwenye sheria yake ni shangazi yetu
 
Back
Top Bottom