Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Huo wivu, yaonekana umekosa hata wa kukusalimia so unaamua kumwaga mboga. Wacha watu wafurahie uumbaji wa Mungu Mwenye enzi yoye, Watu wanapunguza pia mastress, huwezi kila siku unakunywa coca, kunakipindi unatamani angalau ston tangawizi😎

sina cha kukujibu hivi kuna mwanamke anakosaga mwanaume??labda aaamuee kuwa hataki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malalamiko ya design hii yamekuwa yanatolewa mara kwa mara na watu wenye vitambi wanaotamani kuupunguza mwili ila wanayakwepa mazoezi kwa justification zenye msukumo wa uvivu na wivu.

NB:
Kama ulikua hujui, wanaume asilimia kubwa akiwepo mwanume wako wakiwa katika safari yoyote nje ya mji anaoishi lazima watafute mechi ya ugenini hata ya kununua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mwanaume anatoka nje, ujue ndani kuna shida....(Tumefunga maada)

Sent using Jamii Forums mobile app
Tushike lipi enyi wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini wote mu wazima,

Mama lao sina maneno mengi ila tuseme tu ukweli Kili Marathon ishapoteza mvuto sio kama zile Kili za zamani tulizokuwa tunazosikiaa kipindi hicho. Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano, kila ufuska huwa unafanyika Moshi

Yaani kuna kudanga na kudangwa sio kila mtu anaenda kwa ajili ya Marathon ila wanatumiaa mgongo wa Marathon kwenda Moshi kujivinjari

Hasa Wanaume manake unakuta mtu anaaga nyumbani kuwa anaenda kwa Marathon kumbe kashaandaa kiburudishi pembeni same applied to wadangaji nao washafanya ni chimbo la kupatiaa Wanaume.

Thats why unakutaa siku hizi kilaa mtu anajifanya anapenda Marathon.

Jamani Wanawake wenzangu kuweni macho na haya ma-marathon ya kila siku ambao yameshakuwa kama fashooooni mjini haya mama, marathon 25% ndo wapo kimarathon zaidi but the rest 75% ni kwa ajili ya kwenda kusaka na kusakwa niliyo yaona Moshi yanatoshaa jaman
Kwani umeona nini mama?
 
Acha mabaharia tufaidi madem za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nipo hapa Moshi miaka yote naona kinachoendelea. Mfano juzi majority ya washiriki walikuja moshi ijumaa wakakesha na kushinda kwenye kumbi za starehe, loji na hoteli wakibanjuka. Watu mkesha wa marathon wanalala night club asubuhi wanaamkia uwanjani eti kukimbia..! Hapo kuna marathon kweli??
Mekuz ingekuwepo sjui pngekuwaje

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Wanawake wenzangu kuweni macho na haya ma-marathon ya kila siku ambao yameshakuwa kama fashooooni mjini haya mama, marathon 25% ndo wapo kimarathon zaidi but the rest 75% ni kwa ajili ya kwenda kusaka na kusakwa niliyo yaona Moshi yanatoshaa jaman
Bado hujatusaidia
Umeona nini?
Nini kifanyike?
Kili marathon inachukua watu kutoka pande zote za dunia,lengo kuu ni kusisimua utalii
Kwa hiyo watu wanakwenda kushiriki na kutangaza vivutio vya utalii,kama kuna mabazazi halikwepeki hilo
 
Wazo jema ila umeliongea negative sana! Kumbuka ni mkusanyiko wa watu wengi na kwa miaka ya karibuni imeonesha kushika kasi kubwa na kuongeza pato la nchi na mkoa kwa ujumla wake.

Kuwepo kwa ufuska ni tabia tu za baadhi ya watu wachache walioamua kufanya hivyo na ikumbukwe tu huwezi mlinda kila mtu kwasababu hata huko maofisini wanawake kwa wanaume wanatianaaa sana tu tenaaa mnooo kuliko hata tukio hilo la kilimarathoni.

Tusipende kuongea sana negative negativeeee,,penye wengi pana mengi mbona misemo iko wazi? Na hata zamani walikuwepo wachepukaji kili marathon sema sikuhizi inajulikana sana na watu wanafurahia Mara moja moja.

Mama la mama, ukiona vepeee jikusanye na mmeo mfate hapo nyuma maana hatoibiwa! Wala hata tia nje!

Just thinking aloud!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom