Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Kuna jamaa pale uwanjani walikua wanakomaa na mademu wa kizungu, yani akijipitisha tu demu wa kizungu yupo mwenyewe hawamwachi lazima apigwe sound, nafikiri walipania siku hiyo lazima wapate mzungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa watu wafanye nini wakati siasa zimezuiliwa na uhuru wa maoni umefungiwa ,mawazo yanapelekwa korokoroni
 
Mambo ya marathon
IMG-20200303-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo jema ila umeliongea negative sana! Kumbuka ni mkusanyiko wa watu wengi na kwa miaka ya karibuni imeonesha kushika kasi kubwa na kuongeza pato la nchi na mkoa kwa ujumla wake.

Kuwepo kwa ufuska ni tabia tu za baadhi ya watu wachache walioamua kufanya hivyo na ikumbukwe tu huwezi mlinda kila mtu kwasababu hata huko maofisini wanawake kwa wanaume wanatianaaa sana tu tenaaa mnooo kuliko hata tukio hilo la kilimarathoni.

Tusipende kuongea sana negative negativeeee,,penye wengi pana mengi mbona misemo iko wazi? Na hata zamani walikuwepo wachepukaji kili marathon sema sikuhizi inajulikana sana na watu wanafurahia Mara moja moja.

Mama la mama, ukiona vepeee jikusanye na mmeo mfate hapo nyuma maana hatoibiwa! Wala hata tia nje!

Just thinking aloud!

Sent using Jamii Forums mobile app

well said bt mwishoni nilimaliziaa kwa kusema kila abiria achunge mzigo wke manake kili itkuja kutukill kweli


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom