Wazo jema ila umeliongea negative sana! Kumbuka ni mkusanyiko wa watu wengi na kwa miaka ya karibuni imeonesha kushika kasi kubwa na kuongeza pato la nchi na mkoa kwa ujumla wake.
Kuwepo kwa ufuska ni tabia tu za baadhi ya watu wachache walioamua kufanya hivyo na ikumbukwe tu huwezi mlinda kila mtu kwasababu hata huko maofisini wanawake kwa wanaume wanatianaaa sana tu tenaaa mnooo kuliko hata tukio hilo la kilimarathoni.
Tusipende kuongea sana negative negativeeee,,penye wengi pana mengi mbona misemo iko wazi? Na hata zamani walikuwepo wachepukaji kili marathon sema sikuhizi inajulikana sana na watu wanafurahia Mara moja moja.
Mama la mama, ukiona vepeee jikusanye na mmeo mfate hapo nyuma maana hatoibiwa! Wala hata tia nje!
Just thinking aloud!
Sent using
Jamii Forums mobile app