Joy pale pana mbuzi mtamuu balaa...
Tatizo pale wadada njaa sana,kila baada ya dk 20 kinakuja kimemo chenye namba za simu
@Mzigua90 marathon yako ya goba usikute simara anakuona uko ukikimbia
Kuna rafiki yangu alikua anaongoza kwa mdomo anasema kwenye mbio watu wanaenda kudanga. Kuna siku nimekutana nae kwenye starehe huko akaanza nisifia nimepungua blah blah nikamwambia sababu nakimbia nikamkaribisha na yeye kwenye programs zetu za Goba kila Jumanne na Alhamisi.
After two weeks zikaja tena hizi discussion za marathon na umalaya kwenye group yetu ya chuo. Akasema yeye hawezi kukimbia kwanza mbio ni umalaya na hawezi kukimbia hata km 1 sio mambo yake.
Tukaonana tena mwezi wa kwanza mwanzoni akaona nilivyopungua tena.
Sasa hivi nakimbia nae kila siku. Tena siku nyingine nikitoka ofisini nimevurugwa sitaki kukimbia anaenda mwenyewe kukimbia.
Last week anasema boyfriend wake kamsifia alivyopungua na akanishukuru nimemsaidia kuweza kukimbia na kumfutia mentality ya kujudge wengine kwa kitu ambacho wachache wanakifanya.
Haya mambo ni akili yako maana hata iweje hayakwepeki kunapokua na jinsia mbili tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute huwa tunaonana ila ndo hatufahamiani kweli. Maana mie Goba since day one nipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigua wapo wanaokimbia kwa ajili ya kupungua mfano mtu kama Joslinndeki
ila kinachosemwa ni ukweli wapo wanaokimbia kwa ajili ya kudanga wapo my dear, Kili Marathon kuna wadada nawajua crew ya kina Ben Kinyaiya huwa wanakodi coaster wanaenda ila hao wadada hawakimbii wanaishia tu kustarehe na vitu vingine.
😂😂😂😂wallahi nitakua nakujua , yes Coaster yao ya Gavanaz.Joslin na wengi tu wanakimbia.
Ben Ben unasemea ile coaster yao ya Gavanaz? Wale wanakujaga kula bata tu wala hawakimbii.
Hayo mambo mengine ya umalaya yapo tu mama kwenye jinsia tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Dear ndiyo Marathon pekee ambayo huwa nashiriki mara moja moja ingawa watu wengi ambao wapo Goba Road Runners nawafahamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wallahi nitakua nakujua , yes Coaster yao ya Gavanaz.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wallahi nitakua nakujua , yes Coaster yao ya Gavanaz.
Balehe inakusumbua si bure,alafu wandishi wako unaonyesha dhahiri kua Ni mtu wa dhiki sananabishaana na aliyekutoaaa kwenye zipu sio ww hata kusimamisha huwez mfyuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye mbuzi nakuunga mkono.
Usiniambie watapaharibu sasa hivi kama Sai Sai ilikua sehemu nzuri ila kila muhudumu na bei yake
Pale palikuwa pana totoz hatari yaani kinoma noma....umenikumbusha mbali sana
Bado Chato Marathon
Kesho lazima niingie Top Ten UDSM half marathon. Mshindi wa kwanza 500,000
Saa ngapi mkuu..inabidi leo nilale jiran na maeneo hayo...sema hizi papuchi usiku kucha nitaweza run kweli?Kesho lazima niingie Top Ten UDSM half marathon. Mshindi wa kwanza 500,000