Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #41
Uko sahihi.Na ndiyo engineer inatakiwa iwe hivyo kitu kianzie kwenye karatasi kiwe na specs fulani ili kije kwenye uhalisia japo tuwe wawazi ma engineer wetu wengi wanawahi kuridhika sana kwenye utendaji bado sana.
Tayari hapo tunaondoka kwenye pesa kidogo, au mtaji mdogo.Ukiingia kwenye hii biashara na ukataka uzalishe kwa wingi, na ili upate faida itakubidi ununue nondo kiwandani kwa tani
Unaweza kuanza kwa kidogo ulichonachoTayari hapo tunaondoka kwenye pesa kidogo, au mtaji mdogo.
Lakini kikubwa, kuna kitu nimeokota na ubongo wangu umenufaika.
Fungua ubongo