Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Idiotic thread.....

Hivi wewe Yo Yo una nini na mimi?
Kila ukiniona jamvini lazima unifuate.
Unanitakia nini?
Au umetumwa?
Hivi hujioni kuwa ni mjinga pale unapomchokoza member afu yeye hana time na wewe?
Mbona unatabia za kike?
Kila siku wakulalamikie wewe, umekuwa nani?
Acha shobo na ushakunaku kwenye thread ya mtu, kama hawajakutag wala kuku-mention basi wewe isome kisha piga kimya.
Sio unaleta ujuaji wako hapa.
Wanaokujua tabia zako mtaani wanatosha, sio lazima mpaka sisi pia tukufahamu.
Tena na ukome siku ingine, ukome kushobokea pasiposhoboka.

Gigolo usie na kikanga we.
 
Last edited by a moderator:
Remote, kwanza nashukuru na kuipokea Asante yako kwa mikono miwili.
Hapo kwa blue sina mengi, ila kwa red, utakumbuka kubanana na wenzio?
Kama uko tayari njoo.

hapo kwenye kubanana kazi nogo sana; nikirudi tz i wil find you physical sio chit chat tena
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye kubanana kazi nogo sana; nikirudi tz i wil find you physical sio chit chat tena

toba yarabi!
Madame B hii post niifowadi kwa wahusika au nisiifowadi? Nibembeleze mamito vinginevyo huna ndoa.
Kopi................
 
Last edited by a moderator:
toba yarabi!
Madame B hii post niifowadi kwa wahusika au nisiifowadi? Nibembeleze mamito vinginevyo huna ndoa.
Kopi................

Usiifowadi Shemeji, Chonde chonde,............. nitakupa chochote unachotaka.
Usii-send hiyo Copy Bishanga. Remote........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom