Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

hongera mie ndo kwanza sijatimiza hata nusu yake

Asante sana mkiva.
Usijali, utafika kwa maana hata mnara wa Babeli haukujengwa siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga unanipeperushia ndege wangu. Ngoja nihamie pm

hahahaha we Remote toka lini Madame B akawa ndege,basi kama ni ndege atakuwa njiwa kazi yake kupeleka salam........
Ewe njiwa,
Ewe njiwa,
Peleka salam,
Kwa yule,
Kwa yule,
Wangu bishanga muhibu
Sos: jkt taarab
 
Last edited by a moderator:
hahahaha we Remote toka lini Madame B akawa ndege,basi kama ni ndege atakuwa njiwa kazi yake kupeleka salam........
Ewe njiwa,
Ewe njiwa,
Peleka salam,
Kwa yule,
Kwa yule,
Wangu bishanga muhibu
Sos: jkt taarab

Shemmm, Am missing u!
Niko hapa HISAJE,Boko Magengeni/Dovya karibu tunywe.
 
Last edited by a moderator:
mwangalieni huyu anasema hana time na ID ya Yo Yo ila ana time na Yo Yo.....afu unajua mie sishobokei vicheche(sijasema wewe ni kicheche) unaweza kufanya alivyofanya Berlusconi ukala vile vile

Last edited by a moderator:
wewe demu kaa kivyako vyako biashara za kukua kamuambie boy friend wako....

Haaaaaaaaaaaaaaaaa.....................
Weweeeeeeeeeee,
Mimi sio Demu, mimi shoga mwenzio.
 
mwangalieni huyu anasema hana time na ID ya Yo Yo ila ana time na Yo Yo.....afu unajua mie sishobokei vicheche(sijasema wewe ni kicheche) unaweza kufanya alivyofanya Berlusconi ukala vile vile

Kakojoe ukalalwe.
 
Last edited by a moderator:
Hongera my shosti Madame B.
Mwaka mmoja ndani ya hii familia ni kitu cha kujivunia.
Muda si mrefu utakua mmoja wa ma legends.
Cheerz.
 
Last edited by a moderator:
Hongera my shosti Madame B.
Mwaka mmoja ndani ya hii familia ni kitu cha kujivunia.
Muda si mrefu utakua mmoja wa ma legends.
Cheerz.

Asante sana queenkami Shosti wangu kipenzi.
Mwaka 1....... si mchezo,lazima nilikula Msoto.
Hahahah... to be A legend si masikhara ati....
OK..... Mamito.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…