Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Duh! Nimekosa besidei madam,nakutakia kila raheli ktk maisha ya jf na maisha ya kila siku:biggrin:
 
Duh! Nimekosa besidei madam,nakutakia kila raheli ktk maisha ya jf na maisha ya kila siku:biggrin:

Asante sana charger,
Nawe nakutakia maisha marefu hapa Jf.
Asante.
 
Last edited by a moderator:
naomba nikupongeze kwa kutimiza mwaka 1 hapa jf naamini imekuwa na msaada kwako na mimi najipongeza kwa kutimiza mwaka 1 hapa jf nilijiunga hapa tar5 may 2012 na kwa kweli nimejifunza mambo mengi sana hapa na nashukuru kwa ushirikiano wenu wote
 
Asante mkuu UBoNGo HaRaGe, nakushukuru kwa kweli.
Pia nami naomba nikupe hongera zangu nyingi tu, kwa kufikisha mwaka hapa Jf.
Tupo pamoja sana.
Kila la kheri na tuendelee kushirikiana.
 
Last edited by a moderator:
Hbd kwa mwaka mmoja Jf! Tumefurahi kuwa na wewe, mwaka mwingine ujao ongeza maarifa zaidi
 
hongera mkuu bestito Madame B kwa kutimiza mwaka hapa
nimejifunza mengi toka kwako mdada nimekupendaje?
 
Last edited by a moderator:
Dahh!!!
Nakumbuka zama hizi
 
It's time passed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…