Tugari twa mikoani tubaya tubaya tuu... Hii imekaaje mazee!!!!

Tugari twa mikoani tubaya tubaya tuu... Hii imekaaje mazee!!!!

ACHA UBOYA.

Nimewashinda akili kwa sababu najua kutafuta hela na namna ya kuzitumia, sio kuzichimbia ardhini mpaka ma greda yanakuja kuwa aibisha..

Nimewashinda elimu sababu mie ni Engineer.. Huko mikoani hakuna ma Engineer, engineer karibu wote tuko Dar, mikoani tunakuja kufanya kazi then tunarud dar....
Uko hapo????

Kifupi ni kuwa nimewazidi karibu kila kitu, ingawa sio wote....

ACHENI USHAMBA
NUNUENI magari mazuri mazuri bana.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Embu fanya comeback bwana mdogo mhandisi, mbavu hazijavunjika kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jipu ww na pengine ulipo si kanda ya ziwa usiongelee Ndinga za kiDon Rock city zipo za kusaza tuu Nichek 0712 135745 nikuoneshe jiji na BMW X5 nikupeleke mitaa ambayo watoto Wa Mwanza tunafanya yetu kapri point,kirumba,bwiru,Rufiji,Nyakato,Bugando,Sahara na mitaa flan mabatini uswahilin uone ndinga za kileo zilivyonyuti then ntakuachia Verrosa urudi nayo ulikotoka ukawaambie imetoka Mwanza jiji lenye miamba........View attachment 416397
Kwa hizi 'pigo' engineer was right [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom