Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Habari JF!
Ni kawaida kila mwaka au miezi kadhaa majarida kama forbes kutoa top ya matajiri na kiasi au thamani ya utajiri wao duniani. Kila mtu ana kile kiasi na mali anazomiliki iwe biashara, mbuzi, ng'ombe, nyumba, shamba, kiwanja, godoroš etc.
Tupo uchumi wa kati. Hivi hapo ulipo ukithaminisha kila ulichonacho jumlisha salio lako la benki, tigo pesa m-pesa una jumla ya utajiri wa kiasi gani ktk tzs au usd. Lengo lako walau ufikie kiasi gani? Mpaka sasa unaweza sema uko asilimia ngapi kufikia lengo?
Nachukua peni na daftari nitarudiš
Karibuni.