Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kuna watu wakituona sisi tunaandika kuhusiana na life wanadhani sababu hatuji proud sana basi hatuna kitu.
Mi nipo vizuri pesa tu ndo basi zijazipata kwa kipindi hiki. Ila nipo handsome sana tu. Nina demu mkali ambaye jinsi alivyo mzuri wanaume wengi wanamtaka.
Demu wangu ana mabwana wawili na mimi ndo mchepuko wake. So wadau msije mkawa mnaniona hapa mkanidharau.kuna watu humu hawajawahi kuwa michepuko toka wamebalehe. Ila wanajifanya much know kinyama.
Tena mimi mchepuko wa demu mkali siyo hao mademu wanaume hata hawashtuki nao. demu wangu imagine ana mabwana wawili.
Humu ndani wekeni heshima kwa watu msiotufahamu. Ni vile tu bado hatuja cash check zetu.siyo kwamba hatuna pesa. Msitake kutunyanyasa katika suala la mapenzi mkidhani wote tunakula kwa macho...acheni mazarau nyie.