Tuheshimiane mwanamke wangu ana Mabwana Wawili, Na Mimi ni Mchepuko wake Msije nidharau kabisa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kuna watu wakituona sisi tunaandika kuhusiana na life wanadhani sababu hatuji proud sana basi hatuna kitu.

Mi nipo vizuri pesa tu ndo basi zijazipata kwa kipindi hiki. Ila nipo handsome sana tu. Nina demu mkali ambaye jinsi alivyo mzuri wanaume wengi wanamtaka.

Demu wangu ana mabwana wawili na mimi ndo mchepuko wake. So wadau msije mkawa mnaniona hapa mkanidharau.kuna watu humu hawajawahi kuwa michepuko toka wamebalehe. Ila wanajifanya much know kinyama.

Tena mimi mchepuko wa demu mkali siyo hao mademu wanaume hata hawashtuki nao. demu wangu imagine ana mabwana wawili.

Humu ndani wekeni heshima kwa watu msiotufahamu. Ni vile tu bado hatuja cash check zetu.siyo kwamba hatuna pesa. Msitake kutunyanyasa katika suala la mapenzi mkidhani wote tunakula kwa macho...acheni mazarau nyie.
 
Afya ha akili ni tatizo kubwa sana tofauti na tunavyolichukulia
 
Enzi zile baba anakwenda kazini na mama analea watoto nyumbani hakukuwa na familia zenye watoto wajinga wajinga.
 
Duh nyuz zngne bhn za ajabu sana , mwanaume wa wap ww unajisifia kua mchepuko
 
Kuna watu wakituona sisi tunaandika kuhusiana na life wanadhani sababu hatuji proud sana basi hatuna kitu.

Mi nipo vizuri pesa tu ndo basi zijazipata kwa kipindi hiki. Ila nipo handsome sana tu. Nina demu mkali ambaye jinsi alivyo mzuri wanaume wengi wanamtaka.

Demu wangu ana mabwana wawili na mimi ndo mchepuko wake. So wadau msije mkawa mnaniona hapa mkanidharau.kuna watu humu hawajawahi kuwa michepuko toka wamebalehe. Ila wanajifanya much know kinyama.

Tena mimi mchepuko wa demu mkali siyo hao mademu wanaume hata hawashtuki nao. demu wangu imagine ana mabwana wawili.

Humu ndani wekeni heshima kwa watu msiotufahamu. Ni vile tu bado hatuja cash check zetu.siyo kwamba hatuna pesa. Msitake kutunyanyasa katika suala la mapenzi mkidhani wote tunakula kwa macho...acheni mazarau nyie.
No wonder mwanaume akisimulia harakati alizopitia unasema ameiba simulizi WhatsApp. Kumbe mario
 
Simba anapojisifia kula mizoga kama fisinna bado anataka kuitwa mfalme wa pori
 
Back
Top Bottom