Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
- #21
Dada... Mbona una kisirani sana? Nlishasema mimi nina mpenzi wangu tunapendana.. hilo kwa nini likuume hivi?No wonder mwanaume akisimulia harakati alizopitia unasema ameiba simulizi WhatsApp. Kumbe mario