Tuheshimu mila za watu

Ndeefu, ila imejaa upumbavu mtupu
 
Point
 
Mnaonea wenzenu, mtu ana njaa halafu aanze kula anajificha kisa anaogopa kukamatwa, mtu unaishi kama digidigi hali ya kuwa tupo kwenye nchi huru ,haya mambo ya ajabu na kitumwa, haijalishi waislamu ni wengi au wachache cha muhimu katiba ifuatwe.

Mnachofanya ni uonevu ulio wazi.

Kama una swaumu nenda kafie mbele na swaumu yako sio funga yako iwe kero kwa wengine.
 
Hamtaki si mrudi kwenu mpk Ramadhan iishe.
Otherwise mtakula mboko tu
 
Inshort hiyo dini yenu mmeishiwa mbinu za ushawishi, ndio maana mnatumia mabavu kuhakikisha dini yenu inabaki na wafuasi. Dini ya kweli hufuatwa kwa nguvu yake ya ushawishi, ukishaona inatumika nguvu kubwa kulinda principle za dini hiyo hata kwa wasiohusika, ujue hamna dini humo Bali genge la ushetani.
 
Wembe ni ule ule tu, ukila hadharani utakula mboko
 
achana na hizo mambo tupeane michongo tuje kula mema magharibi ya roho. niko jijini Doha.
 
Si waondoke!
Kwani hawana kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…