Tuheshimu mila za watu

Wewe ni pumbavu kabisa. Kwanini nyie hamtaki kuvumilia ambao ni kula mchana kipindi cha Ramadhan?
 
Umeandika mambo meeengi bila sababu.

Ukweli ni kwamba Zanzibar ni nchi ya kiislamu, huruhusiwi kula hadharani kwny mweI mtukufu.

Hutaki, ondoka Zanzibar, Simple. Hakuna mtu kalazimishwa kukaa Zanzibar.
 
Umeandika mambo meeengi bila sababu.

Ukweli ni kwamba Zanzibar ni nchi ya kiislamu, huruhusiwi kula hadharani kwny mweI mtukufu.

Hutaki, ondoka Zanzibar, Simple. Hakuna mtu kalazimishwa kukaa Zanzibar.
Zanzibar sio nchi ya kiisilamu, katiba ndio husema nchi ni ya aina gani. Kuwa na waisilamu wengi hakutoi haki ya kushurutisha wasioamini dini yenu kufuata mtakacho.
 
Ni mjinga tu anaweza akaandika hivi
 
Zanzibar sio nchi ya kiisilamu, katiba ndio husema nchi ni ya aina gani. Kuwa na waisilamu wengi hakutoi haki ya kushurutisha wasioamini dini yenu kufuata mtakacho.
Unaijua Katiba ya Zanzibar? Zanzibar inatumia sharia.
 
Hawa watu me nakosa pa kuwaweka
Hawana imani thabiti na walafi wa kutupwa. Funga ni imani, biblia inakwambia na tena mfungapo msiwe km wanafki wenye nyuso za kukunjamana ili ujulikane kuwa umefunga. Ina maana vitabu vyao vinatangazisha funga?

Huku wengine wanapiga mfungo wa Novena, Kwaresma, TAG uwa wana mifungo yao. Ila vitu vinaenda kimya kimya,, ila wao sasa kelele mji mzima km minini sijui 🙁
 
Wagalatia wana vichwa vigumu sana kuelewa mambo madogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…