Tuheshimu mila za watu

Tuvumiliane tu, siku zenyewe 30 tu. Hizi taratibu zipo tangu sie wengine hatujazaliwa, acheni fujo....
 
Labda Zanzibar ingekuwa wanaishi Waislamu peke yao hapo sawa. Kuna madhehebu mengine, nao ni lazima waheshimiwe.
 
Jeshi la police wapo na wajibu mkubwa katika hili vinginevyo tugawane mbao ,kama wazabar hawaki umoja au ungana why warizimisha ? Ifike mda kuhamua kama wanganyika ,tumechoka na manyanyaso ya Zanzibar
 
Huyu Jihadist anawatishia Wananchi wa Uingereza kwa kutumia Jambiya je mnataka Wakirsto na Atheist Agnostics Pagans au Waisilamu poa wa huko Visiwani Zanzibar nao wajitetee kila wanapokula hadharani wabebe Jambiya?

 
Acha upimbavu we mvaa
Wewe ni pumbavu kabisa. Kwanini nyie hamtaki kuvumilia ambao ni kula mchana kipindi cha Ramadhan?
Li-imani la
Liu-imani la
Liu-imani la "KIJINGA" HilI... Hiyote tatizo UKRISTO..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…