Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Miaka ya themanini dunia ilikuwa inaandikwa kwenye kitabu
Ni aghalabu sana kwa mali au sehemu ya mawazo ya muandishi kupotea sababu ya upatikanaji wa hizi nakala za waandishi,watu walihifadhi maandishi kama inavyohifadhiwa mali na kwakiasi kikubwa tumeikusanya elimu ya vitabu vichache na kuvipachika katika ulimwengu wetu wa kidigitali.
Hofu yangu ni kwamba dunia inavyozidi kukua ndiyo mawazo ya kusoma vitabu,ukweli kuhusu mawazo ya muandishi hupotea hivyo nawakumbusha umma kuwa tuhifadhi baadhi ya mambo na turithishe vizazi vyetu.