Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Huyu ni pastor wa kike kule Nairobi Kenya akiendelea na huduma za uinjilisti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu alikosea kumuumba alivyo??Astaghifilullah!Anawatengua udhu waamini huyo!Hakuna miongozo ya uvaaji au ni kanisa jipya kwa miondoko ya kileo?
La hasha!Lakini,kujisitiri ni jambo la kheri.Yafaa nini kuwalisha waja kahawa kwa mishikaki wakati ni marastafari?Mungu alikosea kumuumba alivyo??
Mathayo 7: 1-2hizi ni siku za mwisho, shetani ameleta counter fake za injili nyingi sana. mojawapo ni za hao wasiopenda kujisitiri, wauza mafuta na maji, wanaopenda kuabudiwa na kusifiwa wao badala ya Mungu, wanaopotosha Neno la Mungu kama Ceaser mume wa grace products na anayejiita nabii mkuu, na wengine wengi. hao wote sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. siongei hivi kwa kuwahukumu ila nawaombea kwa Mungu, sisi sote kama wanadamu wadhaifu tuifuate njia ya kweli.
kuhusu kuwahukumu wengine, haimaanishi usiwarekebishe watu, ni pale unapowakosoa wengine wakati wewe nawe upo gizani kama wao. ndio maana hata Yesu aliwasema kwa ukali mafarisayo kwamba ni wanafiki, ni sawa na watu wa siku hizi, wengi hawataki kuambiwa ukweli kwa kinga ya usihukumu usije kuhukumiwa wewe. nakuonya, huu mstari haukuhalalishi wewe kukataa kupokea mafundisho na maonyo, geuka, mrudie Mungu wako anakupenda hivyo hivyo ulivyo.Mathayo 7: 1-2
Huyu ni pastor wa kike kule Nairobi Kenya akiendelea na huduma za uinjilisti.
Nisahihi kukataa mafundisho, lakini si sawa kumwambia mtu ataenda kwenye ziwa la moto. Kuhukumu sio kazi yako. Kwa maana sisi sote ni wakosefu. Kama ziwa la moto lipo, unadhani wewe utalikosa?! Nitajie mtu mmoja unayemfahamu atakayelikosa ziwa lile. Tuombeane kheri ndugu. Mbingu ni ngumu.kuhusu kuwahukumu wengine, haimaanishi usiwarekebishe watu, ni pale unapowakosoa wengine wakati wewe nawe upo gizani kama wao. ndio maana hata Yesu aliwasema kwa ukali mafarisayo kwamba ni wanafiki, ni sawa na watu wa siku hizi, wengi hawataki kuambiwa ukweli kwa kinga ya usihukumu usije kuhukumiwa wewe. nakuonya, huu mstari haukuhalalishi wewe kukataa kupokea mafundisho na maonyo, geuka, mrudie Mungu wako anakupenda hivyo hivyo ulivyo.
Ni kitu gani hakisitiriwa hapo ndugu. Labda hiyo mikono. Lakini mbona nguo aliyovaa imemsitiri kuanzia juu hadi miguuni?!La hasha!Lakini,kujisitiri ni jambo la kheri.Yafaa nini kuwalisha waja kahawa kwa mishikaki wakati ni marastafari?
Nisahihi kukataa mafundisho, lakini si sawa kumwambia mtu ataenda kwenye ziwa la moto. Kuhukumu sio kazi yako. Kwa maana sisi sote ni wakosefu. Kama ziwa la moto lipo, unadhani wewe utalikosa?! Nitajie mtu mmoja unayemfahamu atakayelikosa ziwa lile. Tuombeane kheri ndugu. Mbingu ni ngumu.