GE2025 Tuhuma alizoziibua Polepole zinapaswa kufanyiwa kazi mpaka Polepole aripoti Polisi au Takukuru? Kwanini wasianze kuzishughulikia?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.

Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se

Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM

Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi. Huku akiwa karibu na wakuu wa serikali.

Je, haya nayo mpaka Polepole awepo ndio yafanyiwe kazi?
 
Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi.Huku akiwa karibu na wakui wa serikali.

NAWAKUMBUSHA WAKRISTO WOTE KUWA MWAMPOSA SIYO MTUME NI KANYANGA LA ROSTAM AZIZI NA CCM TISS NA BAKWATA kazi yake ni kufanikisha mambo ya kuwa brain wash wakristo na kuwapotezea wakati siyo mwamposa tu wapo wengi na sasa hivi kuna mwingine ana andaliwa na CCM NA BAKWATA
 
Sijui wao ila lissu amewekwa korokoroni kwa ushahidi wa mitandaoni. Sijui wanatumia nini ku reason.
 
Kifo cha jiwe ndiyo kimezaa urais wa Samia. Wahuni wamemuaminisha kuwa wamemtoa roho jiwe ili yeye awe rais. Na wanamtisha kuwa naye akizingua atapelekwa peponi. Kwa muktadha huu, wahuni wanagusika?

Kiziga anatumika tu kukamilisha dili za kuvhota fedha toka serikalini, lkn nyuma ya dili hizi kuna familia ya Samia na Kikwete. Kwa muktadha huu,Samia ataweza kuishughulikia familia yake mwenyewe?
 
Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.

Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se

Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM

Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi.Huku akiwa karibu na wakui wa serikali.

Je, haya nayo mpaka Polepole awepo ndio yafanyiwe kazi?
Tayari wanafanyia kazi na hatua ya kwanza ndo hiyo ya Polepole kutoa maelezo yake kwenye vyombo vya usalama. Hata ungekuwa wewe ni polisi ungetaka kwanza kusikia kwa kina na kumhoji mtoa tuhuma.
 
Pole pole anaweza kutoa ushahid kwa njia ya mtandao wakati huo wakilinwake akimuwakilisha

Sasa hapo inabid wahusika wote wakamarwe kwanza
 
Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.

Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se

Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM

Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi.Huku akiwa karibu na wakui wa serikali.

Je, haya nayo mpaka Polepole awepo ndio yafanyiwe kazi?
Mkuu, unadhani kweli wanatafuta msaada wa Polepole? Wanamtafuta ili wampoteze au wamtengenezee kesi isiyokuwa na dhamana!
 
NAWAKUMBUSHA WAKRISTO WOTE KUWA MWAMPOSA SIYO MTUME NI KANYANGA LA ROSTAM AZIZI NA CCM TISS NA BAKWATA kazi yake ni kufanikisha mambo ya kuwa brain wash wakristo na kuwapotezea wakati siyo mwamposa tu wapo wengi na sasa hivi kuna mwingine ana andaliwa na CCM NA BAKWATA
Sawa kabisa mkuu
 
Tayari wanafanyia kazi na hatua ya kwanza ndo hiyo ya Polepole kutoa maelezo yake kwenye vyombo vya usalama. Hata ungekuwa wewe ni polisi ungetaka kwanza kusikia kwa kina na kumhoji mtoa tuhuma.
Kwenda zako huko
 
Write your reply...chadema wapumbavu wengi yaani nikisema wewe mwizi pasi kuthibitisha waje wakukamate tu bila mlalamikaji kutoa maelezo
 
Tayari wanafanyia kazi na hatua ya kwanza ndo hiyo ya Polepole kutoa maelezo yake kwenye vyombo vya usalama. Hata ungekuwa wewe ni polisi ungetaka kwanza kusikia kwa kina na kumhoji mtoa tuhuma.
Kwa hiyo tenda ya sare za polisi wanasubiria polepole atoe maelezo unataka uamunishe umma kuwa bila polepole uchunguzi hauwezi kufanyika, acha tabia mbaya😁
 
Yale ni maroboti tu jukumu lao imekuwa ni kulinda maslahi ya viongozi na wanasiasa tu, sio taifa tena.
 
Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.

Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se

Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM

Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi. Huku akiwa karibu na wakuu wa serikali.

Je, haya nayo mpaka Polepole awepo ndio yafanyiwe kazi?
Hapo kinachotafutwa wala si tuhuma ila kwa weledi wa Kitanzania anatafutwa Slow slow
 
Back
Top Bottom